wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, November 24, 2009

buster ndani ya bongo

ni buster rymes ambae weekend hii alikua dar akifanya show katika fiester nadhanai kama unapenda burudan utakua unamfahamu
katika show hiyo alikamua jukwaani na wasanii kibao tu wakali wa bongo lakin unajua alimkubali zaidi nani? jaribu kubashili te te teeeeeeee jamaa alimkubali sana chidi mcheki hapa chini anamwambia kitu chidi hapa chid alikua anapaform
cpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa pia alikuewpo kama unavyo muonawengi munaopenda burudan nadhani mnamfahamu anaitwa busterb rymes kutoka kwa obama alikuja kwaajiri ya shoo ya fiester dar

Thursday, November 19, 2009

hey dadaz vipi hiii

helo vipi hii njia ya kugezea wadau hapa hata kama ni naniiiiii hawezi kukukagua kama unaona inaweza kukutoa jaribu. Lakini ni mtazamo wangu tu

walionaje hili katika siasa yetu

leo kidogo asubuhi nimesitushwa na tangazo la Rais wa ijaso mh Nuhu Suleiman akiwataka wanachuo wanaofadhiriwana na mahakama wakalipe fedha za serikari ya wanafunzi ambazo pia ndio zinazo mfanya mwanachuo kua mwanachama wa ijaso .Ninachojiuliza nikua inamaana kuna watu walio piga kura anbao sio wanachama halali wa ijaso Maana fedha hiyo mtu anapotoa ndiao anakua mwanachama???????????????????????????? maana kuna watakao kataaa au hawatatoa kabisa na bado walipiga kura jee uhalali wao kupiga kura ulikua ni upi? nipe maooni yako

gARLz muwe makini

niajabu lakini maneno ya wahenga yanatimia kwamba ukistaajabu ya musa.................. mtoto kazaliwa halafu anafanana sana na chura kama unavyomuona hapo pichani.Lakini unajua kwanini mama yake kazaa mtoto yuko hivyo???????? Nihivi mama aliyejifungua vmtoto huyo aliingiwa na shahawa za chura alipokua anaoga mtoni.SO GARLz TAKE CARE MNAPOOGA MTONI

Cheki mtoto mwenyewe katika pozi na hiii imetokea nchini kwa wanzetu ambao tunaamini tunauhusiano nao wa karibu kisheri namaanisha india


Wednesday, November 18, 2009

muda mpya


umemuona eeh ni mudau mpya kutoka pande za big brother wenyewe wanakuita hiivvyo

PRESENTATION NOMA

Nadhani kwa wiki hii hapa umekutana na watu kibao wakihanya huku na huku kujiandaa kwa aajili ya presentation. Imekua ni week ambayo imewaacha watu katika wakati mgumu sana ukizingatia wengi tulikua hatujawahi kufanya hiki kitu.Lakini ndo shule hiyo maana watu hawako shule kuongea tu au kuimba.Cheki washikaji hapo chini wanakomaa kufanya presentetion.Wewe umeionaje hii week? nadhani pia umefanya yako ilikuaje?
Hellow wapenzi wa ijasosana tunapenda kuwaomba radhi kwa kutokuweka post .Hii inatokana na matatizo kidogo ya kiufundi ambayo baada ya muda mfupi yatamaliziki
    utawala

Monday, November 16, 2009

MSIBA IJA

TUNASIKITIKA SANA KUTANGAZA KIFO CHA MWANACHUO MWENZETU NDUGU OBIELO ALIEFARIKI HOSPITAL KCMC MOSHI BAADA YAKUPELEKWA KWA MATIBABU ZAIDI.NDUGU OBIELO TUMEKUA NAE KATIKA KOZI YA DIPLOMA.MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA MAPENZI YAKE YATIMIZWE, TULIMPENDA SANA LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI
AMEN
.....................................................................................

rambilambi na hisia zetu nikatika sehem ya komenti hapo chini>

hellooooooooow ABED WE SALUTE U BROTHER



kishikizo kwanyama tu.daaah kama sio yeye kaka anasoma sheria

Thursday, November 12, 2009

mbona uko bize na simu hata mi ninayo bana nisikize basi eeeeh



katika pozi ya pamoja ni wadau wanapoteza muda kiroho mbaya

nikama under 17 fulani hivi ukimwona japo sina uhakika na umri wake yuko pamoja nasi happa

hawa ni wadau wa blog hii tukielekea uzinduzi rasimi wa blog hiiiiiii pia unaweza kuwa mmoja wa wadau hawa

ni mmoja wa wadau wakubwa wa ijasosana yuko bize lakine kapozi kukucheki wewe kuonyesha yuko pamoja sana na wewe
mdau tupa2 na mwingerezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa cjui wanalonga nini hapa wiziiiiiiiiiiiiii mtupu
waziri mkuu nae kwavilonga hachoki kuongea na simu haya sasa pembeni ni spika wetu wa bunge nadhani hela za kikao cha kwanza zimetoka mbona wamenona sana hawa watu au ndo epaaaaaaaaaaaaaa
detectiveeeeeeee kaka upoooooooo naona pembeni mdau uncle nanihiiiiiiii na suti yake kama kikwete haya wadau kazi kwenuuuuuuuuu

Wednesday, November 11, 2009

wadau wa hapa wakiwa katika pozi tofautitofauti cheki wanavyopendeza

hello jamani hawa wadau kwa kula cheki walivyojiachia ndani ya valley ebwana dah
wadau kama kwa kaka grey akiwa kwenye mpango wake mzima cheki jamaa katikati hajafulia bado yuko juuuuuuuuuu ingawa ni defeated presidar per more jah sana mdau mpanju uncle nanihiii nae kwa dubaaiiiiiiiiiiiiiii hakamatiki
kibiriiiiiiiit nae yumooooooooooo
Daaaaaah wadau nipeni tano per more jah sanaaaaaaaaaaaaaaaa
uncle nanihiiiiiiiiiiiii kwa pozi nae yumo dubaiiiiiiii tu dah kweli kazi ipo mwaka huuuuuuuuuu kisheria zaidi

mdau mkuu akiwa ktk poziiiiii




jaman karibun sana hii ni yenu

Monday, November 9, 2009

tumekubali kaka bado uko juuu sana tu tunaamini hujafuria

wekend ilio pita sehemu fulani hivi wenyewe wanaiita BIG BROTHER kulikuana na sherehe kubwa ilyokua imeandaliwa na aliekua mgombea wa kiti cha urais wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha uongozi wa mahakama ( ija) ndugu ABEDI kwa ajiri ya kuwapongeza  wale wote waliompigia kura.JAMA KAONYESHA ITS REAL THEIR COMPETION WAZ FAIR,hoyoapo ndo mnyama  mwenyewe aliyeku wa shughuri.
picha zingine za tukio zima ntakupa baadae za marafiki na waheshimiwa waliohudhuria siku hiyo

Wednesday, November 4, 2009

ONA YANGU


Najuasisi wote kipindi fulani tulikua watoto.Natulikua na michezo ya ajabu mingine ni ya hatari sana na mingine niya ajabu na mingine ni ya kufulahisha sana.Nadhani pia KOMBOLELA ni moja ya michezo tulio ipenda sana na ni maarufu sana kwa mtoto na aliekua mtoto wa tanzani na maanisha wewe ambae ni mtoto wajana.Nataka tu kukuleta karibu alafu tujadili kidogo.katika udadisi wako wa utotoni najua ulikua na maswali mengi sana na baadhi ni haya
mama mimi nilizaliwaje?
watoto wanapatikana wapi?
baba mbona una tumbo kubwa?
na mengine mengi.hebu nikumbushe swali moja tu au zaidi uliyopeda kuuliza au ambalo unakumbuka kuuliza.

Monday, November 2, 2009

MAMBO KAMA HAYA PIA TUNAYADADAFUA SIUNAJUAAAAAA


helo nije watu wangu najaribu tu kukuonyesha kila kitu kinawezekana popote sio lazima mpaka uendee studio ukafanye maediting YAKUFA MTU ila vitu vingine ni utundu tu.
ni kwambie kitu nadhani ANAWEZA KUA UPCOMING MODEL MZURI.Jaribu kuangali hizo pozi hapo juu alafu fikiri kama wote wangeingia studio pamoja na AMISHA ambae ni super model.Sitaki uamini kwamba nampa flagi lakin anaweza akafanya modeling. naamini pia unaweza sio?Basi niambie we wasemaje