skip to main |
skip to sidebar
gARLz muwe makini
niajabu lakini maneno ya wahenga yanatimia kwamba ukistaajabu ya musa.................. mtoto kazaliwa halafu anafanana sana na chura kama unavyomuona hapo pichani.Lakini unajua kwanini mama yake kazaa mtoto yuko hivyo???????? Nihivi mama aliyejifungua vmtoto huyo aliingiwa na shahawa za chura alipokua anaoga mtoni.SO GARLz TAKE CARE MNAPOOGA MTONI
Cheki mtoto mwenyewe katika pozi na hiii imetokea nchini kwa wanzetu ambao tunaamini tunauhusiano nao wa karibu kisheri namaanisha india
Wadau mambo kama haya kweli yapo,kuna watu wenye sura za ajabu,mfano kama mfuatiliaji mzuri wa discovery channel cku ya thursday saa tano ucku kuna kipind kinaitwa MY SHOCKING STORY,huko kuna watu wa hajabu sana hasa nchi za asia.Kuna stori moja ilinistua na kunishangaza,huko indonesia kuna mtu alikuwa akiota matawi ya miti kwenye miguu na mikono.na mwili mzima ulikua mgumu km mti,oparation yake madoctor walitumia machine ya kukata mbao ili kuproon baadh ya sehem atleast jamaa awe na structure kama yako.
ReplyDeletewadau sio km nadanganya,likizo fuatilien then mtawapa wadau wengine mahajab ya dunia,Pia angalien national geographical channel kuna kipind kinaitwa MORE AMAZING MOMENT,pia kuna mambo ya kustahajabisha.
ReplyDelete