wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Friday, August 20, 2010

JUDGE MUSHI KAAGWA

kwa habari tulizo zipata hapo tarehe 8agost 2010 kulikua na sherehe ya managenent ya uongoz wa chuo ya kumuaga rasimi judge MUSHI ambae anaondoka. na kiongozi mpya wa chuo anaekuja ni judge wa tabora ambae jina lake hatujaripata bado,habari zakuaminika zinasema kwamba katiKA sherehe hiyo uongozi wawanafunzi uliwakilishwa na Rais ndug NUHU SULEIMAN na WAZIRI MKUU DENNIS BAISHAKA MPAKA SASA MENEGIMENT IMEVUNJWA NA INATEGEMEA KUTENGENEZWA NYINGINE WAKATI WOWOTE