wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, December 22, 2009

NIPE TANO WE NDO MCHIZI NA ITIFAKI INAZINGATIWA PIA

WELCOM 1st YEAR NA UZINDUZI WA IJASO SANA ULIKUWA HIVI


Mgeni Rasmi katika hafra hii alikua makamu mkuu msaidizi wa IJA Mh NTEMI KILEKAMAJENGA Kama anavyoonekana akifatilia kwa karibu matukio mbalimbali yaliokua yanaendelea
Meza kuu ilikua hivi, hapa ni mgeni Rasmi pamoja na Rais wa ijaso,dean of student,milindo, na Makamu wa Rais wa Ijaso.
Kabineti ya Ijaso Sana pamoja na Waziri wa Habari Mh. Baraka, akifuatiwa na Mhariri wa Ijaso sana Nd. Joel, Mpiga Picha Emmanuel Mwita, Mkurugenzi Mtendaji Mh. Rubben Maduhu, pamoja na Ijaso Sana Technician Humphrey, Wakitambulisha Rasmi blog ya Ijaso Sana.
Mgeni Rasmi pamoja na wageni waalikwa baada ya uzinduzi wa blog ya Ijaso Sana wakifatilia kwa karibu blog hiyo jinsi inavyoonekana katika Projector iliyofungwa siku hiyo maalum kwa Uzinduzi.
Moja kati ya matukio yaliyokuwa ni hili la mashindano ya kula kama inavyooneka katika picha.

Sunday, December 20, 2009

HARAKATI ZA KUUAGA KAMBI YA MAKAPELA

KWAHELI MADAMU ROSE, UTARUDI NYUMBANI KUTEMBEA

DUUH! WAREMBO WAPO DUNIANI
WAKATI TUNAFUNGUA MICHEZO YA MADARASA SEND OFF YA MAADAM ROSE ILIKUA INAENDELEA TARATIBU KATIKA UKUMBI WA NYALALI SQUARE

CHADEMA NA KAMPEN LUSHOTO

HAPA NI WILBROD SLAA PAMOJA NA WAJUMBE WENGINE WAKIJADILI JAMBO KABLA YA KUANZA KWA MHAZALA WAOwaingia lushoto kwa mkwala wakiwa na helcopta yao



UFNGUZI RASMI WA LIGI YA MADARASA
HAPA NI UFUNGUZI RASMI WA MASHINDANO YA MADARASA UKIONGOZWA NA DEAN OF STUDENT PAMOJA NA RAIS WA IJASO NA KAMATI YAKE WAKE
HIVI NI VIKOMBE MBALIMBALI VITAKAVYO SHINDANIWA
HII HAPA NI PICHA YA PAMOJA YA TIMU YA NETBOLL YA DL1(BLUE) NA CL(NYEKUNDU) AMBAPO MATOKEO MATOKEO YALIKUA DL1(16) NA CL(13)
<

Friday, December 18, 2009

BAJETI YA SERIKARI YA WANAFUNZI YAKAMUA ZAIDI YA M 13

Jana mchana kikao cha bunge la serikali ya wanafunzi kimeendelea katika ukumbi wa juu cert ambapo wizara mbalimbali ziliwa kilisha bajeti zao na jumla bajeti yote ilichukua kama million 13 huku ikiwa na mvutano mkubwa

MH JUSTIN MWALIKWA AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU

wabunge kutoka katika majimbo mbalimbali wakiwa wanafatilia bajeti mbalimbali
Waheshimiwa wakiwakatika picha ya pamoja wakati wa mapumziki mafupi kabla ya kuingia tena kuendelea na kikao cha bunge

Mh mbunge wa dLI AKIWA MAKINI KUFUATILIA BAJETI


WAZIRI MKUU,NAIBU SPIKA,SPIKA PAMOJA NA KATIBU OFISI YA RAIS WAKIWA BUNGENI JANA





<

Thursday, December 17, 2009

LiGI yetu ijaso

mashindano ya madarasa ndo kwanza yanaaza na yatafuguliwa ijumaa na kwa taarifa ya haraka haraka ni kwamba tayari timu ya mpira wa miguu ya dl1 imejipanga vizuri na imempata kocha mzuri ambae amewahi kucheza ligi kuu ya tanzania, kocha huyo nimedokezwa kua alikua mchezaji hatari wa timu ya LIPULI YA IRINGA,]
pamoja na hayo ratiba inaonyesha kua mechi zote za mpira wa miguu zitafanyika kwenye uwanja wa harimashauli ambao uko mjini lushoto,hii inatokana na kwambwa kiwanja kilichokua kinatumika hapo kabla hakina kiwango kinachotakiwa,zaidi mpaka jana timu mbalimbali zimeonekana viwanjani zikifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa.taarifa zaidi endelea kuwa pamoja na sisi

kuahilishwa kwa sexiest gal

kutoka na sababu ambazo kidogo haziepukiki tumeamua kuahirisha shindano la sexiest gal in ija na pia tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza

Tuesday, December 15, 2009


tunaraji kufanya ufunguzi rasimi wa blog hii siku ya welcom first year ambayo itakua ni next weekend hapa ija,mambo mengi tutafanya ikiwa ni pamoja na kuitambulisha cabineti nzima ya ijasosana,pia kama mambo hayataenda vibaya we are planning to make competion ya kutafuta who iz the sexiest gal ambayo wewe ndugu mfatiliaji ndio utakua jaji wa kuamua kwa kumpigia kura moja kwa moja au online wenyewe wanasema unaeona anafaa kua.so keeeeeep in touch saa yoyote muchuano unaweza kuanza na matokeo ni siku ya ufunguzi rasimi

WELCOME 1st YEAR NA UZINDUZI WA MASHINDANO YA MADARASA 2009/10

TAARIFA YA WAZIRI WA MICHEZO
Waziri wa michezo mheshimiwa YAHAYA KARIM ametoa taarifa ya
siku ambayo wana ijaso hawatakiwi kusahau, ni siku ya tamasha la kuwa karibisha wanachuo wapya (dl1 na cl) ikienda sambamba na ufunguzi wa michezo ya madarasa.
Pia kutakua na uzinduzi wa Blog ya ijasosana,
Burudani zatakazo kuwepo
1. MASHINDANO YA KULA
2.FASION SHOW\
3.WASANII KUTOKA FAMILIA YA IJASO
4.DISCO LA NGUVU KUTOKA KWA MA Dj WA KALI
5.MECHI YA MPIRA WA KIKAPU ( DL1 Vs DL2)
6.SHINDANO LA SEXIESTY GAL
Mgeni rasmi katika shughuli hii atakua Mhe, JAJI E.MUSHI
KWA MWANA IJASO HUTAKIWI KUKOSA BURUDANI HII

Wednesday, December 2, 2009

hii hapa ndio speech maarufu ya MARTIN RUTHER KING

                                  I HAVE A DREAM SPEECH.
I am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation.Five score years ago, a great American, in whose symbolic shadow we stand today, signed the Emancipation Proclamation. This momentous decree came as a great beacon light of hope to millions of Negro slaves who had been seared in the flames of withering injustice. It came as a joyous daybreak to end the long night of their captivity.But one hundred years later, the Negro still is not free. One hundred years later,

duuu???? hat huyu??????

kutumi chooooo jaman ni wito au siyo

mapenzi ya zamani ya barua yalikua hivi mfano wa barua

Kutoka kwa Demu
** ROLL DOWN TOU YOU** KISS BEFORE YOU READ** " P D N F"--- please do no fold
Roll down to you sweetiepie Babe! Time and ability plus double capacity has forced my pen to dance automatically on this benedicted sheet of paper. Why! this miraculous thing happened is because papie I love you spontaneously and as I stand horizontal to the wall and perpendicular to the ground I only think of you, since you are a fantastic and fabulous guy. papie please Stop haranguing with the feelings in my heart because I love you more than a snake loves rat. To me each day starts by thinking of you and ends by dreaming of you. Each time I see you my metabolism suddenly stops and my peristalysis goes in reverse gear. My medular-oblandata also stops functioning. Crazy crazy ! crazy you may say but this is true. If only you knew what is going on in my encephalon you would understand. That's why I need to see you face to face with you, soon. I think I have to pen-off hear because I still haven't finished studying electrolysis and polymerization. Catch you pa- later. Sleep tight and don't let those bed bugs ever bite you coz you are too sweet a thing for them.
Yourz Ever, Sugar tapi tapi

mwanzo wa maisha bora unawe ukawa huu

maisha bora nadhani yameanzia hapa kwa wazee wengi wazamani ambao unawaona wanatesa hivi sasa kipindi kile ambacho shule zilikua bado chache