wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Friday, January 15, 2010

vipi kama wakati wa mazishi tungekua wawazi kama hawa

Ifuatayo ni historia fupi ya marehemu tuliyemlaza ktk nyumba ya milele.

Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya
maana japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu haina mpango kwake. marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi wa mboga, uongo, uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.


Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindu x2 kiasi kwamba ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba.

Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa! pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga
tangu tarehe 06/04/99. marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi 3 vya mduara. Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero.
asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe, kama kuna mkong'oto huko ampe kiaina.

Wednesday, January 13, 2010

cl waonekana dhahiri vibonde wa ligi

HIKI NDICHO KIKOSI KAMILI CHA DL 1 KINACHOONGO KWA KUGAWA DOZI ZA KUELEWEKA.WALIANZA STAFF WAKAFUATA CL NA SASA ZAMU IJAYO NI YA DL2,HATUJUI ITAKUAJE? LAKINI INATARAJIWA KUA NI MECHI ITAKAYO VUTA HISIA ZA WATU WENGI



MECHI NYINGINE ILIKUA KATI YA TIMU YA STAFF NA DL2 AMBAPO MPAKA KIPENGA CHA MWISHO KINALIA STAFF WALIKUA MBELE KWA MAGOLI 6 KWA 3

TIMU YA DL2 WAKATI WAKIWA TAYALI KUINGIA UWANJANI

jana timu ya certificate imeonekana dhahiri kua kichwa cha mwenda wazimu baada ya kujikuta ikichezea tena kichapo cha kueleweka baada ya KUFUNGWA MAGOLI 6 KWA 1 NA TIMU YA DL2

Tuesday, January 12, 2010

IJASO YAPATA MUWEKEZAJI

Habari zilizotufikia nikua hapo jana serikari ya wanafunzi ilikua katika mchakato wakuingia mkataba na bwana MULLA juu ya uendeshaji wa ijaso ambayo ni moja ya vitega uchumi vikubwa vya serikari ya wanafunzi.Aitha muwekezaji huyo atakua akitoa huduma za chakula na vinywaji kwa muda wa mwaka mzima kwa mjibu wa mkataba,ambao mkubaliano yake yalitakiwa yafanyika hapo jana jioni.Kwa mujibu wa waziri mkuu amesema kua mkata huo utaipatia serikari shillingi 600,000 tsh

Monday, January 11, 2010

haya ni matukio ya mashabiki mbalimbali katika mechi za ligi ya madarasa

BAADHI YA WASHIBIKI WQALIOFIKA UWANJANI KUAANGALI MECHI KATIKA UWANJA WA HALIMASHAULI HAPA WAKIWA KATIKA POZI YA PAMOJA
TUNASHOW LUV ZEN TUNAEENDELEA NABURUDANI YA MPIRA UNATUONA LAKINI HAPA UWANJANI

MTUMZIMA MLUMA , DEAN, ABED SULE PAMOJA NAWENGINE WAKIFUATILIA MECHI

WAZIRI MKUBWA PAMOJA NA WASHIKAJI ZAKE UWANJANI

HUYU HAPA CHINI NI MCHEZA RAFU MASHUhuLI WA TIMU YA STAFF AMBAE PIA ALITOLEWA KWA KADI NYEKUNDU KATIka MECHI YA STAFF NA dl1

SHEMEJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 4-1

Mechi ya cL na dL2 ilfanyika jana kati uwanja wa halimashauli ambapo CL WALIFUMGWA goli 4 kwa 1.

CL WALIKUA WAKWANZA KUPATA BAO KIPINDI CHAKWANZA AMBAPO BAO HILO LILIDUMU KWA DAKIKA CHACHE BAADA YA KUSAWAZISHA. BAADA YA KUSAWAZISHWA NA GOLI HILO NDIPO MVUA YA MAGOLI ILIPOANZA

DL2 wakifulahia baada ya kusawazisha bao la kwanza


kabla ya mpila kuanza hapa nitimu ya DL2

HAWAHAPA NI CL kabla dhoruba haijawaangukia

CL KWA MCHEZO WALIOUONYESHA WACHAMBUZI WAMICHEZO WANASEMA KUA UWEZEKANO NIMKUBWA KWA TIMU YA CL KUA NI VILAZA KATIKA MPIRA WA MIGUU.SO ITZ UP TO U CL MKAZE BOOT

DEAN APELEKA TIMU NA KUAMBULIA GOLI 5 KWA 3

NI KATIKA MECHI YA LIGI YA MADARASA KATI YA STAFF WA IJA NA WANAFUNZI WA DL1 ILYOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UWANJA WA HALMASHAULI MJINI LUSHOTO


HAPA TIMU YA STAFF WAKIWA KATIKA MAPUMZIKO KABLA YA KIPINDI CHA PILI KUANZA


TIMU YA DLI PIA WAKIPEANA MAWAIZA MWILI MATATU KABLA YA MECHI KUENDELEA


KAMA ULAYA VILE MECHI ZINADHILIWA NA BARAFU LAKINI ZETU ZINAASILIWA NA MVUA NA UKUNGU KAMA UNAVYOONA ILIBIDI KIDOGO KUPISHA MVUA UWANJANI


HAPA UKUNGU ULITAWALA SANA MPAKA REFA AKAWA HAWAONI HATA WACHEZAJI NA NDIPO MVUA ILIPOSHUKA

UKIACHIA HAYO JAPO DLI WALISHINDA MECHI LAKINI WALIKUTANA NA USHINDANI MKUBWA KUTOKA KWA TIMU YA STAFF TOFAUTI NA ILIVYOTARAJIWA NA KUWAFANYA PIA BAADHI YA WACHAMBUZI WA MPIRA KUBASHIRI KUA KAMA TIMU HIYO ITAEENDELEA HIVYO BASI CL WANAWEZA KUTOKUA NA LAO

Friday, January 8, 2010

Hata Sisi tupo pamoja na Waziri Mkuu.


Mh. Waziri Mkuu wa Serikali ya wanachuo IJASO(shirt njano) akiwa pamoja na wanachuo wengine wakielekea Chuoni wote wanaishi katika Hostel Moja wengi wao wanaiita chaku's ze best hostel kwani ni moja kati ya hostel zenye mandhari nzuri. Camera yetu iliwakuta wakiwa na huu msafara.

Mi NaJuA KuNyOnYA wEWe UnAwEza KuINyOnya loLliPOp.... ?


Camera yetu ilimkuta dada huyu akienjoy pipi yake kama anavyoonekana.

MVUA YASABABISHA MAJI KUPITA JUU YA DARAJA KATIKA GETI LA KUINGIA CHUONI.




Mafuliko madogo yasio namadhara yenye usumbufu, yametokea mara ya pili na kusababisha wanachuo na baadhi ya wananchi kupita katika maji, yalitokea katika geti la kuingilia Chuoni. Wagumu walilazimika kuvua viatu na Mabitozi walibebwa na Bodaboda.

Tuesday, January 5, 2010

mgomo waisha baada ya tamko kutolewa


leo asubuhi taarifa imetolewa ya kusitisha mgomo wa kuingia darasani baada ya kikao kilichofanyika jana baina ya baraza la mawaziri na uongozi wa chuo habari zaidi zitakuijia hapobaadae. Hapa Rais wa Serikali ya wanachuo IJASO akitangaza kumalizika kwa Mgomo huo.

Wanachuo wakiwa wameshikana mikono wakiimba Solidarity Forever baada ya taarifa ya kuamalizika kwa mgomo uliodumu kwa siku mbili.


Baraza la Mawaziri wakimba pamoja na wanachuo nyimbo ya solidarity forever kama inavyoonekana ,

Monday, January 4, 2010

TAMKO LA SERIKALI YA WANAFUNZI KWA UONGOZI WA CHUO LILILOFANYA WANACHUO KUINGIA KATIKA MGOMO MPAKA TAMKO LITOLEWE



RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI Mh NUHU SULEIMAN PAMOJA NA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI

TAMKO LA SERIKALI YA WANACHUO
JUU YA HUDUMA ZA AFYA KATIKA ZAHANA TI YA CHUO

Ndugu CHARLES LUWONGO alijisikia vibaya na kuomba msaada chumba cha jirani mnamo saa 10:oo alifajiri siku ya tarehe 01/01/ 2010, takribani muda wa dakika mbili tayali ndugu mapunda alikua ameshafika chumbani kwa marehemu na kugundua kua alikua hayuko katika hali ya kawaida (ugonjwa) .kwakushirikiana na wanafunzi wengine ndugu mapunda walifanya jitihada za kumfikisha katika za hanati ya chuo , na kukutra imefungwa na hakuna mhudumu yeyote .Jitihada za kumpa ta dereva wa zamu katika eneo la chuo ili aweze kutoa msaada wa kumpeleka mgonjwa katika hospitali ya wilaya ya lushoto ziligonga mwamba ,kwani dereva wa zamu hakuwaepo katika eneo la chuo na simu zilikua hazipatikani .
Uamuzi ulichukuliwa wa kutembea mpaka kwa dereva anaeishi karibu na Judge kwaajiri ya kuomba msaada, walifanikiwa na kuja kumchukua mgonjwa mnamo saa 12:00 alifajiri na kumpeleka katika hospitari ya wilaya , mihangaiko yote hiyo ilichukua masaa mawili hadi mgonjwa kufika hospitari ambapo aliaga dunia hata hajapatiwa matibabu
Tukio kama hili lilitokaea kwa mwanafunzi Theresia Kinyasi mwezi mmoja uliopita ambapo baada ya kuugua ghafula mnamo ma jira ya saa 11:00 jioni alikosa huduma za usafili kwa kutokuepo dereva wa zamu na pia kukosa hudumaya matibabu baada ya kutokuwepo nesi wa zamu katika dispensary ya chuo ,na kwamba hata baada ya doktrari kupatikana alishindwa kutoa huduma yeyote hali iliyo pelekea mgonjwa kupelekea mgojwa kupelekwa hospitari ya wilaya na kupata matibabu baada ya massa mawili kupita .Huduma katika zahanati ya chuo zilikua hazilizishi siku hadi siku kwani wanafunzi wamekua wakipata usumbufu mkubwa unaotoka na uzembe wa wafanyakazi katika zahanati ya chuo , pamoja na kutokuepoeva wazamu katika eneo la chuo wakati wa usiku .
Serikali ya wanafunzi kwa kupitia wizara ya afya imekua ikifanya kazi kwa kushughulikia matatizo ya dispensary na kupeleka malalamiko kwa mshauli wawanafunzi ,pamoja na uongozi wa dispensary na kupata majibu yafuatayo ;
1)zahanati ya chuo inatakiwa kuwa wazi muda wote ili kutoa huduma kwa wanafunzi muda wowote linapotokea tatizo la ugonjwa kwa wanafunzi ,
2)kunachumba maalumu kwaajili ya dereva zamu kwaajiri ya dharula zitakazo jitokeza.
Kwa kuwa Majibu hayo yamekuwa yakikinzana na hali halisi ,Hivyo kupelekea usumbufu mkubwa wanafunzi wanaopata ya ugonjwa hususani wakati wa usiku ,na kwakuwa mfano hai tumeupata kwani marehemu Ndugu Charles Luwongo hakupata huduma yoyote ya kwanza kutokana na kufungwa kwa Zahanati ya Chuo mpaka anafika katika hospitali ya Wilaya , na kwa kuwa ugonjwa hauchagui kwani hatujui leo au kesho ataugua nani ,na kwa kuwa miongoni mwetu kuna baadhi ya wanafunzi wenye magonjwa ya dharura kama vile moyo, Athma , kisukari, n.k. Serikali ya wanafunzi inaomba Utawala wa Chuo uchukue hatua zifuatazo;
1. Kutokana na kukosekana / kufungwa Zahanati ya Chuo mara kwa mara , mfano siku ya mkesha wa mwaka mpya ; siku ambayo ata Taifa linatambua umuhimu wake kwa ongozeko la matukio na hivyo kuimarisha usalama wa watu wake katika Nyanja mbalimbali , Utawala wa Chuo uchukue hatua za kinidhamu kwa mamlaka na watu husika waliopelekwa kufungwa kwa Zahanati na kukosekana kwa Zahanati na kukosekana kwa dereva wa zamu katika siku hiyo muhimu.
. 2. Utawala wa Chuo utoe tamko la kulaani tukio lilitokea siku ya mkesha wa
waka mpya hususani ukosefu wa huduma za Zahanati na dereva wa.
Zamu.Tamko hilo liwahakikishie wanafunzi usalama wa afya zao
Kuhakikisaha upatikanaji wa huduma bora za afya , pamoja na kuwepo na
Daktari au nesi muda wote ; sambamba na upatikanaji wa dereva wa zamu
Katika eneo la Chuo wakati wa usiku.
3. Kutokana na kuzorota kwa huduma za Zahanati ya Chuo, Utawala wa Chuo uchukue hatua za haraka ili kunusuru hali hii . Na kama haiwezekani wanafunzi warudishiwe fedha zao wanazotoa kwa ajili ya matibabu ili waweze kujihudumia wenyewe kw uhakika.
Ili matatizo tuliyoyaanisha hapo juu yapewe umuhimu na kushughurikiwa haraka iwezekanavyo kwa manufaa ya wanafunzi wote , Serikali ya wanafunzi inatoa tamko la kususia, vipindi madarasani ( Boycott classes) kuanzia leo tarehe 04/01/2010 kama njia pekee ya kikatiba ya kushinikiza Utawala wa Chuo kutatua matatizo yanayotukabili. Tunategemea kupata majibu ndani ya masaa 48 kuanzia sasa, na ikishindikana ndani ya muda husika Serikali ya wanafunzi itachukua hatua zaidi.





MWILI WA MAREHEM CHARLES UKITOREWA NDANI YA UKUMBI WA NYALALI SQURE KWAAJIRI YA KUSAFILISHWA KWAO

MSIBA MKUBWA CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO

MWILI WA MAREHEM CHARLES TAYALI KWA KUSAFILISHWA KWAO LINDI INAUMA SANA INAUMA SANA INAUMA SANA
SHUGHULI YA KUMUAGA MWENZETU CHARLES IKIENDELEA CHUONI KABLA YA KUSAFILISHWA KWAO
MKUU WA CHUO JUDGE MUSHI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

WAKATI MWILI WA MAREHEMU UKIINGIZWA KATIKA UKUMBI WA NYALALI SQUERE

HISTORIA FUPI YA MAREHEM CHARLES LUWONGO
MAREHEMU ALIZALIWA MNAMO TAREHE 23 MEI 1965KATIKA KIJIJI CHA MKONJOWANO WILAYA YA LINDI
MAREHEMU ALIHITIMU ELIMU YA SEKONDARI CHIDYA MASASI MWAKA 1987,MNAMO MWAKA 1988 MAREHEMU ALIAJILIWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA KAMA MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA III,MNAMO MWAKA 2005/2006 MAREHEMU ALIHITIMU CHETI CHA SHERIA KATIKA CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO .HADI MAUTI INAMKUTA MAREHEMU ALIKUA MWANAFUNZI WA STASHAHADA YA SHERIA MWAKA WA PILI IJA .MAREHEMU AMEACHA MKE NA WATOTO WATATU .
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI