wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Thursday, July 29, 2010

matokeo ija

habari za long holday wale wenzangu wa sertificate na polen na field wale wa diploma najua hampumziki kila siku mnaangalia msimamizi atakuja na njia gani lakini ndio hinyo. aaaah nimepata e-mail za watu kibao wakiniuliza vipi matokeo mbona hatuyapati?mwenyewe pia nikajaribu lakini nikayapata kwa kusomewa baada ya kupiga simu huko kwetu lushoto.nilivyoongea na dean of student alisema tatizo lipo katika server ya chuo baada ya kuigiziwa data nyingi kwa hiyo tatizo linaweza kuendelea kwa wakati usiojulikana kwahiyo akashauli ili kupata matokeo haraka ni bora kupiga simu chuoni. Nawashauli mfanye hivyo maana huwezi jua unaweza ukatulia kumbe sapplimentary unazo zakutosha mpaka zinaanza kucheza disco na muda wa rufaa ukapita ni hayo tu kwa niaba ya ijasosana.