wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, November 24, 2009

buster ndani ya bongo

ni buster rymes ambae weekend hii alikua dar akifanya show katika fiester nadhanai kama unapenda burudan utakua unamfahamu
katika show hiyo alikamua jukwaani na wasanii kibao tu wakali wa bongo lakin unajua alimkubali zaidi nani? jaribu kubashili te te teeeeeeee jamaa alimkubali sana chidi mcheki hapa chini anamwambia kitu chidi hapa chid alikua anapaform
cpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa pia alikuewpo kama unavyo muonawengi munaopenda burudan nadhani mnamfahamu anaitwa busterb rymes kutoka kwa obama alikuja kwaajiri ya shoo ya fiester dar

1 comment:

  1. Ebwana eeeeh!!inaonesha buster aligonga shaw vibaya sana coz jamaa mkali ile mbaya,namfagilia na kibao chake cha Arabs Money,jamaa kasimama na wakali kama young money aka lil weezy aka money over bitches.Pia wimbo wake I LOVE MY CHICK nao unanikosha mbaya,kwa ujumla jamaa kasimama mbaya kwenye anga ya muziki.

    ReplyDelete