Wednesday, November 18, 2009
PRESENTATION NOMA
Nadhani kwa wiki hii hapa umekutana na watu kibao wakihanya huku na huku kujiandaa kwa aajili ya presentation. Imekua ni week ambayo imewaacha watu katika wakati mgumu sana ukizingatia wengi tulikua hatujawahi kufanya hiki kitu.Lakini ndo shule hiyo maana watu hawako shule kuongea tu au kuimba.Cheki washikaji hapo chini wanakomaa kufanya presentetion.Wewe umeionaje hii week? nadhani pia umefanya yako ilikuaje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment