wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, January 11, 2011

matukio ya mechi kati ya cl vs dli[1-1] na dlii vs staff [3-1]

 ilianza mechi kati ya cl na dli ambao mpaka mwisho ilikua ni sare 1-1
 hapa mechi inaendelea japo iliathiliwa na mvua iliyonyesha mapema mchana
 niwakati wa mapumziko wachezaji wa cl wakipeana mawaiza baada ya kenda kuanza kipindi cha pili
 pamoja najua kua kali bado washabiki wa mpila walikuwepo uwanjan kufuatilia mchezo hapa ni victor,waziri mkuu mwenye miwani, waziri wa katiba na sheria mh miriam na wengine
 hawapia walikuwepo kuhakikisha kinaeleweka uwanjani hapo
 timu ya dli wakiwa kati picha ya pamoja
 dada mboni ambae pia aliwahi kua mgombea wa kiti cha makamu wa rais alikuwepo uwanjani
 hawa pia walikuwepo na kibend chao cha ushangiliaji full buruda
 mashabiki wa dli wakiendelea na mishe mishe uwanjani
 hawa ni mashabiki wa cl wakifuatilia mechi kwa karibu
 wachezi wa cl baada ya mechi kuisha
 hawa ni wakufunzi wa timu ya dlii mtaki,mzee rubugopamoja na mpanju baada ya timu na kuileta uwanjani
 wachezaji wa timu ya stafu wakiwa tayari kabisa kukabili kikosi cha dlii
 hapa niwachezaji wa dlii wakiwa pia tayari kwa kumenyana na timu ya staff
 timu zote mbili zikikaguliwa kabla ya mechi kuanza
 huyu ni lazak
 dlii kati poz la pamoja
 lamek pamoja na saba wakiwa pamoja walicheza pia na hapo ndipo lamek alipoweka record ya kucheza bila kuchafuka mpaka
KOMBAKONO, huyu ndio alikua kocha wa timu ya staff akito maelekezo kwa timu yake wakati mechi inaendelea hata hivyo baada ya kuona timu inaelemewa aliamua kuingia uwanjani mwenyewe
 mashabiki wa dlii wakishangilia ushindi
 hapo magoli yalipozidi  hwakusita kushangilia mpaka uwanjani
 kijani pamoja na vuvuzela yake alikua msatari wa mbele kushangilia
 nikama bendi hivi mi napiga gitaa mshikaji anapuliza alafu mosses anaimba hahaahaah
 tuko tu katika poz ya uwanjani pamoja na anna tegemea
 mashabiki wa dlii wakieendelea kushangweka

Sunday, January 9, 2011

mechi kati ya dli na dlii basketball hii hapa

 wakatyi huo ndugu yangu njunwa hakuwa na habari  yeye akicheza tennis tu kama tiger wood

 mawazili wakifuatilia mechi kwa karibu
 dli baada ya kuona game inaenda mrama ilibidi waombe time out wajipange upya
 vivyo hivyo kwa dli
 washabiki  wakifuatilia kwa kar8ibu zaidi
 hakika akijaribu bahati yake
 nilipata wassa kidogo na waziri wa uchumi

Wednesday, January 5, 2011

ufunguzi wa ligi ya madarasa huu hapa

 hawa ni baadhi ya wahadhiri wa ija wakiwa wako tayari kabisa kuibaliki ligi ya chuo kabla haijaanza

 timu ya netboll ya dlii wakiwa tayali kabisa kuwakilisha dlii
 dl i wakiwa pia tayari kwa ajiri ya kuwakabili dada zao wa dlii
 rais wa ijaso ndg WARIOBA akiwa pamoja na waziri wa michezo joseph pamoja na waziri wa habari  mwatumu




Sunday, January 2, 2011

breakin newz.........

waziri wa ELIMU  wa serikali ya wanafunzi (ijaso) ndg EDSON  amejiuzulu.
habari za chini ya carpet tulizozipata ni kwamba kiongoz huyo ambaye amekua uongozin tangu serikali ya Rais Nuhu. amechukua uamuzi huu baada ya kuona kua elimu haipewi kipaumbele katika serikali hii ambacho ndicho kitu kikubwa ambacho kimewafanya pia kua hapa, Aitha habari ambazo hazijazipitishwa zinasema kua sekta hiyo muhim imekua haipewi kipaumbele kiasi kwamba mpaka vikao inavyokaa haipewi posho hata maji ya kunywa wajumbe hawapati.
mpaka sasa ijasosana haijapata taarifa rasimi kama mh Rais ameipokea na kuilizi barua ya kujiuzuli kwa waziri EDSON kwa habari zaidi tutakupasha stay tuned

Friday, November 12, 2010

JAMANI HUWA NI MARA MOJA KWA MWAKA ACHA TUPATE UPAKO

SIKU YA UGENI MKUBWA ALIKUJA BOSS WA MAHAKAMA ZOTE TANZANIA NA HAPA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA PRODUCT AMBAZO HUWA HAZIKOSEI KATIA SUALA LA ZIMA KUHUKUMU

HIZI SUTI BWANA EEEEEEH MUNGU TUSAIDIE BASI NA CC TUWE WADAU HILI FIELD

zamani nilikuwa na ndoto za kuwa mwanasheria nadhani sasa zinaenda kutimia ila hii kazi yako baba nayo nzuri naona umeamua kutembelea makalio sasa na mimi ntakuwa dean of student sasa angalia position yako

JAMANI TUNASOMA SHERIA NA KUIFANYIA KAZI KATIBA NDO IMEMFUKUZA MWANASHERIA MKUU BUNGENI JAMANI C MIMI ASA MNANISEMA NINI?

NADHANI SASA ULE MPANGO WA MOOT COURT UNAKUJA NIKO NA WAZIRI WA ELIMU HAPA BABA USITUANGUSHE JAMIIII ITAKUCHAKACHUAAAA

HIKI KILIKUWA NI KIPIND IKIGUMU ILA JAMANI ACHENI USALITI PIA TUJENGE IJASO NA UTAKATISHAJI CIO MZURI CC NI WANASHERIA
jamani nawashukuru sana wapiga kura wangu mlionipigia na ambao hamkuniunga mkono pia nawashukuru tusome sasa muda wa siasa umepita nawapenda sanaaaaa

ckiza hawa jamaaaaa wanataka watuwahi wakati wametukuta nje hapa asa ngoja thatha kudadadeki ndo watajua kilichomtoa kanga manyoyaaaaaaaaa

haaaaahaaaaaaa wamependa kuuuza sura na mwana blog uncleeeeeeee

hapa tunamwona rais mteuleeeee kipindi cha kampeni akiwa na wapambe wake ambaoo thatha ni mawaziri kweli nipe nikupe

msosiiiiii wa leeeeeeeoooo usipime

get together c unajua mambo ya kukaribishana chuoni

jamani hapa tunakaribishana ija na kupeana mawili matatu niini cha kufanya ili usiage mashindano mapema

kweli kazi ya uspika sasa hvi nakutana na dean of student kama nanawaaaa vileeee popoooooo

jamani hata mkisema nimekosa uwaziri lakini nimepata ujumbe wa ulinzi sasa fanya fujo uoneeeee hasa cku ya leeeooooooo

wanasheria watarajiwa karibuni jamani law ndo kila kitu

jamani hizo tasker za baridi haziji tuuuuuuu hapa ijaso mambo yakoje jamani kama vpi tuhamie makuti