wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Monday, February 15, 2010

Ujumbe wetu kwa wapendwanao.

Bongo c mchezo mwana ebucheki bac yaani ucpime

Kama kawaida wakati wa likizo mambo yalikuwa full kijiachia kama hivi katika kutali tumepata picha mbalimbali kama unavyojionea hapo yaani ucpime.

happy valentine

ijasosana cabinete wishin u happy valentine day to u all

with a big kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisssssssssssssssss
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

r u feelin it?
ujumbe toka kwa manager
usionyeshe upendo wooooooooooooooooooooooooooooooote siku ya valentine peke yake,tunza pia kwaajiri ya siku zijazo kama kesho, keshokutwa, mtondogoo, wiki ijayo, mwezi ujao, na hata mwaka kesho itakapo kuja valentine day nyingine

Sunday, February 7, 2010

TAARIFA YETU WAKATI HUU


manager wa ijasosana pamojana kabineti nzima wanapenda kuwaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza kwa wakati huu ambapo tunatatizo la kiuufundi lakini tunawaahidi baada ya muda mfupi tutaaendelea kama kawaida.HII INATOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU . UTAWALA