
Najuasisi wote kipindi fulani tulikua watoto.Natulikua na michezo ya ajabu mingine ni ya hatari sana na mingine niya ajabu na mingine ni ya kufulahisha sana.Nadhani pia KOMBOLELA ni moja ya michezo tulio ipenda sana na ni maarufu sana kwa mtoto na aliekua mtoto wa tanzani na maanisha wewe ambae ni mtoto wajana.Nataka tu kukuleta karibu alafu tujadili kidogo.katika udadisi wako wa utotoni najua ulikua na maswali mengi sana na baadhi ni haya
mama mimi nilizaliwaje?
watoto wanapatikana wapi?
baba mbona una tumbo kubwa?
na mengine mengi.hebu nikumbushe swali moja tu au zaidi uliyopeda kuuliza au ambalo unakumbuka kuuliza.
No comments:
Post a Comment