wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Thursday, October 29, 2009

MAISHA CHUO WAYAONAJE??????


,


'maisha ya mtaani yanachosha sana lakini bola niko shule sina


mishemishe nyingi kama za mtaani', .maisha ya chuo mara nyingi kwa siku kuna mishemishe ambazo hazikwepeki kama KWENDA LECTURE ROOM, KWENDA HOSTERI, NA KWENDA KANTINI au KWANDUNGULU,najua ni mhimu ufike sehemu hizo na pia lazima ubebe madafutari kama dada angu hapo juu.


WEWE UNADHANI HASA MAISHA YA CHUO NA YA MTAANI YANATOFAUTIANA HASA KWAKIPI NIPE MAONI..................................

Wednesday, October 28, 2009

uchaguzi tayari umefanyika na NUHU SULEIMANI KAIBUKA KIDEDEA
Mawazili pia amechagua na ameshawaapisha jana jioni.lakini na shangaa that was a very serious occation lakin unajua nini? WALIHUZURIA WATU WACHACHE SANA.Unazani kwa nini??????
NIPE MAONI YAKO,......

helo helo helo there again welcome ijasosana


hello funs of ijaso TUNAANZISHA HII ILI KUFAHAMISHANA TU VITU VYA HAPA NA PALE vinavyo tuhusu visivyo vtuhusu lakin tunatamani kuvifahamu, tunavyovipenda pia na hata kudisi vibaya na kusifia vizuri.Kama unakitu unapenda tukiweke hapa hapa unaweza pia kukileta kwa anwani hii bennyruben@ymail.com au weka kama comment.INAWEZA KUA KUBOLESHA au vingine .



so zaidi KISIASA, BURUDANI,KIELIMU,MAPENZI.nk