wekend ilio pita sehemu fulani hivi wenyewe wanaiita BIG BROTHER kulikuana na sherehe kubwa ilyokua imeandaliwa na aliekua mgombea wa kiti cha urais wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha uongozi wa mahakama ( ija) ndugu ABEDI kwa ajiri ya kuwapongeza wale wote waliompigia kura.JAMA KAONYESHA ITS REAL THEIR COMPETION WAZ FAIR,hoyoapo ndo mnyama mwenyewe aliyeku wa shughuri.
picha zingine za tukio zima ntakupa baadae za marafiki na waheshimiwa waliohudhuria siku hiyo
No comments:
Post a Comment