wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Saturday, October 30, 2010

MGOMBEA URAIS

HAPA NI WRIOBA AKIWA KATIKA POZ NA LA KIMICHEZO

mgombea urais

GREAT MABULA AMBAE NI MMOJA WA WAGOMBEA URAIS AKIWA KATI POUSE

MGOMBEA URAIS

HUYO NI NDUGU NESTORY MTAKI AKIWA KATIKA POZ BAADA YA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WA IJASOSANA NA KUTANGAZA VIPAUMBELE VYAKE KUA NI ELIM, AFYA UWAJIBIKAJI NA MICHEZO.

tume ya uchaguz ikiendelea kuratibu uchaguz

TUME YA UCHAGUZI ILIMALIZA KAZI YA KUTEUA WAGOMBEA NA BAADAE KUTANGAZA KAMA INAAVYOONEKANA PICHANI AMBAPO WAGOMBEA MBALI MBALI WALIANZA KAMPEN MARA MOJA
MAJINA YALIYO TOKA TAYARI KWA KUAANZA KAMPEN KWA UPANDE WA RAIS NI
NDUGU NESTORY MTAKI, BI. GREAT MABULA, PAMOJA NA WARIOBA GEORGE


HAPA NI VIJANA WA DL11 WAKIFUAATILIA KWA MAKIN TUME WAKATRI IKITANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA


KWA UPANDE WA MAKAMU WA RAIS WALIOPENDEKEZWA NA TUME YA UCHAGUZ NI MAJARIWA,  RAYMOND PAMOJA NA DADA MBELWA MBON

HAPA NI MAJARIWA KATIKA POZ NA WAPAMBE WAKE

Friday, October 22, 2010

WAZIRI MKUU AACHIA NGAZI

WAZIRI MKUU WA SERIKARI YA WANAFUZI BWANA DENNIS BISHAKA AMETANGAZA KUAACHIA NGAZI HIYO HAPO JANA' ALIPOKUA ANAONGEA NA IJASOSANA.UAMUZI WAKE HUO UMEKUJA BAADA YA KUWEKA WAZI NIA YAKE YA KUGOMBEA NAFASI YA RAIS KATIKA UCHAGUZ UJAO.AMESEMA AMECHUKUA UAMUZI HUO ILIKUFANYA PIA UCHAGUZ HUU UWE WA HAKI NA AMAN BAADA YA KUWEPO NA TETESI KWAMBA ANATUMIA CHEO CHAKE KWA MANUFAA YAKE KATIKA UCHAGUZ UJAO.DENNIS NI MMUMOJA WA WATU WALIOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA MAPEMA KABISA

chini ya kapet

habari zisizo lasimi tulizo zipata zinaeleza walichukua form za kugombea kwa ngazi ya urais ni wafuatao 1;dennis bishaka alikua waziri mkuu 2;mtaki alikua kocha wa kikosi cha dli mwaka jana 3;elias mkumbo alishawahi kuomba ngazi hiyo mwaka jana 4;mpamju huyo pia aligombea mwakajana lakini kura hazikutosha kwa upande wa makamu wa rais waosemekana pia kuchukua ni wafuatao 1;mery munna 2;majariwa 3;mboni 4;dl1 mmoja pia ambae jina lake bado hatujaripata habari hizi ni tetesi tunasubiri tume itakapo tangaza rasmi

Tuesday, October 19, 2010

harakati za uchaguz

IKIWA NDO KWANZA tume ya uchaguzi inachaguliwa mvutano mkubwa umetokea katika jimbo la dl2, baada ya kushindwa kuelewana wakati wauchaguzi wa watu watakao ingia kwenye tume hiyo.kelele nyingi zilisikika na kusababisha upitishaji wa majina kiholela.wakati huo huo uchaguzi wa wajumbe hao umeripotiwa kufanyika vizuri kati jimbo la dl1 na pia kati jimbo la certificate. mpaka sasa wakati wowote wajumbe hao watakutana kujipanga na kuaanza kazi zao zitakazo dumu kwa muda wa siku 14. Mpaka sasa watu wanaosadikiwea kujiaadaa kutandgaza nia wanakadiliwa kufikia zaidi ya kumi kwa kiti cha urais

Wednesday, October 6, 2010

hati hati ya uchaguz

ndo kwanza chuo kinaanza kikiwa na waziri mkuu pekee yake baada ya Rais mh NUHU SULEIMAN kumaliza muda wake wa masomo.mambo yanaendelea ya kisiasa taratibu yanaendelea kuiva baada ya kuwepo kwa tetesi za baadhi ya watu wanaotaka kutasngaza nia kupigana vikumbo huku na huku wakijinadi kwa chini wakati wakisubiri muda muafaka wa uchaguzi habari zaidi za chini ya kapeti tutaendelea kukupa

dl 1 ashushiwa kichapo

mwanafunzi mmoja wa diploma weekend iliyopita alichezea kichapo huko maeneo ya town ambako kitimoto kinauzwa. kijana huyo ambae alikua amelewa chakali alionekana akiwatukana baadhi ya wateja walikua wamekaa wakieendelea na sterehe zao.lakini alionekana kuwakera zaidi pale alipooneka akiwatukana matusi ya nguoni na hapo ndipo walipoamua kumtorea uvivu na kumshushia kichapo.

welcome to new season of study

MANAGERMENT YA IJASOSANA INAPENDA KUWA KARIBISHA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA KWANZA KATIKA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI AMBAO WANAANZA WAMEANZA MWAKA WAO MPYA WA MASOMO.KARIBUN SANA NA MJISIKIE NYUMBANI WENYEJI WENU DIPLOMA TU NA BAATHI YA WANAFUNZI WALIOKUA CERTIFICATE WANAOENDELEA