wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Wednesday, November 18, 2009

muda mpya


umemuona eeh ni mudau mpya kutoka pande za big brother wenyewe wanakuita hiivvyo

3 comments:

  1. Sorry bro,kama mdau mbona cjawahi kuona akitoa comments zozote?As i know mdau ni yule anaechangia comments zinazotolewa na main controlers wa blog,sio mtu anajisikia anakufata et nirushe as mdau bila hata kujua nn kinaandikwa kwenye blog.

    ReplyDelete
  2. Mfano toka hii blog ianzishwe mtoaji comments na mdau mkubwa ni BEPARI,sio kwamba anajifagilia ila ndo ukweli sasa huyo mdau juu hata comment yake moja hakuna so anakuwaje mdau

    ReplyDelete
  3. ni kweri bepali umekua ni mdau mkubwa na pia sio kila mdau lazima aweke maoni huwezi jua yeye udau wake uko wapi labda anachangia mawazo mengine ya kubolesha moj kwa moja kwa kaka ruben.

    ReplyDelete