wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Thursday, November 19, 2009

walionaje hili katika siasa yetu

leo kidogo asubuhi nimesitushwa na tangazo la Rais wa ijaso mh Nuhu Suleiman akiwataka wanachuo wanaofadhiriwana na mahakama wakalipe fedha za serikari ya wanafunzi ambazo pia ndio zinazo mfanya mwanachuo kua mwanachama wa ijaso .Ninachojiuliza nikua inamaana kuna watu walio piga kura anbao sio wanachama halali wa ijaso Maana fedha hiyo mtu anapotoa ndiao anakua mwanachama???????????????????????????? maana kuna watakao kataaa au hawatatoa kabisa na bado walipiga kura jee uhalali wao kupiga kura ulikua ni upi? nipe maooni yako

No comments:

Post a Comment