wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Wednesday, November 11, 2009

wadau wa hapa wakiwa katika pozi tofautitofauti cheki wanavyopendeza

hello jamani hawa wadau kwa kula cheki walivyojiachia ndani ya valley ebwana dah
wadau kama kwa kaka grey akiwa kwenye mpango wake mzima cheki jamaa katikati hajafulia bado yuko juuuuuuuuuu ingawa ni defeated presidar per more jah sana mdau mpanju uncle nanihiii nae kwa dubaaiiiiiiiiiiiiiii hakamatiki
kibiriiiiiiiit nae yumooooooooooo
Daaaaaah wadau nipeni tano per more jah sanaaaaaaaaaaaaaaaa
uncle nanihiiiiiiiiiiiii kwa pozi nae yumo dubaiiiiiiii tu dah kweli kazi ipo mwaka huuuuuuuuuu kisheria zaidi

No comments:

Post a Comment