wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, April 20, 2010

VIWANJANI

BASKETBALL wakiwa tayari kuanza mechi kama unavyo waona checki na time baadae hivi


duuh kama kachumbari fulani hivi yanni mechi ilikua ikiendelea huku dj akieendeleza burudan hapo hapo uwanjani so ilikua burudani marambili


hahahahahaha watu kibao walikuepo kwenye tukio


dli wakiwa wamepoooooozi


dli wakiwa katika pozi kabla ya mechi kuanza

Monday, April 12, 2010

miss ija yaahilishwa


wakati tamasha la michezo likitarajiwa kufanyika jumamos ijayo lililokua likiandamana na miss ija,shindano la miss ija limeahilishwa kutokana na responce ndogo ya wadhamin,.hayo yamesemwa na waziri wamichezo alipokua anatangaza kufanyika kwa tamasha la michezo sambamba na hilo mchezo wa mpira wa miguu pia hautahusika katika tamasha hilo.
wakati huo huo tayari timu ya chuo ya mpira wa miguu imesha teuliwa na majina yatatangazwa hapo baadae, hilo limefanyika wakati huu ilikujiaanda tayari kwa mechi ya kirafiki na timu ya chuo cha ualimu Eckenford baada tu ya likizo ya mid semister.Mechi hiyo inatarajiwa kufanyika mjini Tanga

TAMASHA LA MICHEZO IJA JUMAMOSI

TAMASHA LA MICHEZO IJA LINAANZA HUKU VITU VINGI VIKITEGEMEWA KUTOKEA KAMA MICHEZO YA BASKETBALL, JOGGIN, KULA,DISCO, KUCHEZA MUZIKI NA MENGINE MENGI.
WAKATI HAYO YOTE YAKITOKEA YULE MSHINDI WA KULA AMOSI DOTTO AMEAHIDI KUENDELEA KUFANYA VIZURI NA KAONGEZA KUA RECORD YAKE HAKUNA ATAKEE IVUNJA NA YUKO TAYARI KUSHINDANA NA YEYOTE.
MSHIKAJI AMESEMA HAYO ALIPOKUA AKIONGEA NA IJASOSANA NYUNBANI KIALILO
AMOSI DOTTO AKIWA KIALILO