duuh!bro tabasamu lako mzuka,mi mdau mkubwa wa blogu yetu vp mbona nikifungua kwenye comments hakuna ki2 au ndo watu bado hawajaijua vizuri.Bro itangaze kwa sana notice board zipo kwa ajili ya matangazo.
kitu kingine,jaribu kuweka mada kibao ili wadau 2changie.Mfano elimu,afya,michezo na mahusiano.Toka last week mambo yale yale pengine watu hawayapend thats y hawachangii,jaribu kubadilika kaka mkubwa
duuh!bro tabasamu lako mzuka,mi mdau mkubwa wa blogu yetu vp mbona nikifungua kwenye comments hakuna ki2 au ndo watu bado hawajaijua vizuri.Bro itangaze kwa sana notice board zipo kwa ajili ya matangazo.
ReplyDeletekaka vp mbona blog haichangamki?Kila siku nakuta cmments zile zile it means watu hawaifagilii au ndo wivu kisa umeanzisha wewe
ReplyDeletekitu kingine,jaribu kuweka mada kibao ili wadau 2changie.Mfano elimu,afya,michezo na mahusiano.Toka last week mambo yale yale pengine watu hawayapend thats y hawachangii,jaribu kubadilika kaka mkubwa
ReplyDelete