TUNASIKITIKA SANA KUTANGAZA KIFO CHA MWANACHUO MWENZETU NDUGU OBIELO ALIEFARIKI HOSPITAL KCMC MOSHI BAADA YAKUPELEKWA KWA MATIBABU ZAIDI.NDUGU OBIELO TUMEKUA NAE KATIKA KOZI YA DIPLOMA.MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA MAPENZI YAKE YATIMIZWE, TULIMPENDA SANA LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI
AMEN.....................................................................................
rambilambi na hisia zetu nikatika sehem ya komenti hapo chini>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
msiba huu umetugusa sana hasa tuliokuwa nae darasa moja.Yote mapenzi ya Mungu coz yy ndo muumba wa kila kitu.MUNGU AMLAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
ReplyDeletedaaahhh ebwana bonge la msiba babu coz ukizingatia marehemu alkuwa m2 wangu wa krbu sana 2likuwa pamoko sana mixer mpka pande za dochi nini but nothng rthr thn 2say inshallah coz kwa mungu yote yanawezekana. ni hayo2
ReplyDelete