
hello jamani hawa wadau kwa kula cheki walivyojiachia ndani ya valley ebwana dah

wadau kama kwa kaka grey akiwa kwenye mpango wake mzima cheki jamaa katikati hajafulia bado yuko juuuuuuuuuu ingawa ni defeated presidar per more jah sana mdau mpanju uncle nanihiii nae kwa dubaaiiiiiiiiiiiiiii hakamatiki

kibiriiiiiiiit nae yumooooooooooo

Daaaaaah wadau nipeni tano per more jah sanaaaaaaaaaaaaaaaa

uncle nanihiiiiiiiiiiiii kwa pozi nae yumo dubaiiiiiiii tu dah kweli kazi ipo mwaka huuuuuuuuuu kisheria zaidi