wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Monday, January 4, 2010

MSIBA MKUBWA CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO

MWILI WA MAREHEM CHARLES TAYALI KWA KUSAFILISHWA KWAO LINDI INAUMA SANA INAUMA SANA INAUMA SANA
SHUGHULI YA KUMUAGA MWENZETU CHARLES IKIENDELEA CHUONI KABLA YA KUSAFILISHWA KWAO
MKUU WA CHUO JUDGE MUSHI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

WAKATI MWILI WA MAREHEMU UKIINGIZWA KATIKA UKUMBI WA NYALALI SQUERE

HISTORIA FUPI YA MAREHEM CHARLES LUWONGO
MAREHEMU ALIZALIWA MNAMO TAREHE 23 MEI 1965KATIKA KIJIJI CHA MKONJOWANO WILAYA YA LINDI
MAREHEMU ALIHITIMU ELIMU YA SEKONDARI CHIDYA MASASI MWAKA 1987,MNAMO MWAKA 1988 MAREHEMU ALIAJILIWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA KAMA MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA III,MNAMO MWAKA 2005/2006 MAREHEMU ALIHITIMU CHETI CHA SHERIA KATIKA CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO .HADI MAUTI INAMKUTA MAREHEMU ALIKUA MWANAFUNZI WA STASHAHADA YA SHERIA MWAKA WA PILI IJA .MAREHEMU AMEACHA MKE NA WATOTO WATATU .
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment