leo asubuhi taarifa imetolewa ya kusitisha mgomo wa kuingia darasani baada ya kikao kilichofanyika jana baina ya baraza la mawaziri na uongozi wa chuo habari zaidi zitakuijia hapobaadae. Hapa Rais wa Serikali ya wanachuo IJASO akitangaza kumalizika kwa Mgomo huo.
Wanachuo wakiwa wameshikana mikono wakiimba Solidarity Forever baada ya taarifa ya kuamalizika kwa mgomo uliodumu kwa siku mbili.
Baraza la Mawaziri wakimba pamoja na wanachuo nyimbo ya solidarity forever kama inavyoonekana ,
No comments:
Post a Comment