
HAPA TIMU YA STAFF WAKIWA KATIKA MAPUMZIKO KABLA YA KIPINDI CHA PILI KUANZA

TIMU YA DLI PIA WAKIPEANA MAWAIZA MWILI MATATU KABLA YA MECHI KUENDELEA

KAMA ULAYA VILE MECHI ZINADHILIWA NA BARAFU LAKINI ZETU ZINAASILIWA NA MVUA NA UKUNGU KAMA UNAVYOONA ILIBIDI KIDOGO KUPISHA MVUA UWANJANI

HAPA UKUNGU ULITAWALA SANA MPAKA REFA AKAWA HAWAONI HATA WACHEZAJI NA NDIPO MVUA ILIPOSHUKA

UKIACHIA HAYO JAPO DLI WALISHINDA MECHI LAKINI WALIKUTANA NA USHINDANI MKUBWA KUTOKA KWA TIMU YA STAFF TOFAUTI NA ILIVYOTARAJIWA NA KUWAFANYA PIA BAADHI YA WACHAMBUZI WA MPIRA KUBASHIRI KUA KAMA TIMU HIYO ITAEENDELEA HIVYO BASI CL WANAWEZA KUTOKUA NA LAO
No comments:
Post a Comment