TUME YA UCHAGUZI ILIMALIZA KAZI YA KUTEUA WAGOMBEA NA BAADAE KUTANGAZA KAMA INAAVYOONEKANA PICHANI AMBAPO WAGOMBEA MBALI MBALI WALIANZA KAMPEN MARA MOJA
MAJINA YALIYO TOKA TAYARI KWA KUAANZA KAMPEN KWA UPANDE WA RAIS NI
NDUGU NESTORY MTAKI, BI. GREAT MABULA, PAMOJA NA WARIOBA GEORGE
HAPA NI VIJANA WA DL11 WAKIFUAATILIA KWA MAKIN TUME WAKATRI IKITANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA
KWA UPANDE WA MAKAMU WA RAIS WALIOPENDEKEZWA NA TUME YA UCHAGUZ NI MAJARIWA, RAYMOND PAMOJA NA DADA MBELWA MBON
HAPA NI MAJARIWA KATIKA POZ NA WAPAMBE WAKE
No comments:
Post a Comment