wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Wednesday, October 6, 2010

dl 1 ashushiwa kichapo

mwanafunzi mmoja wa diploma weekend iliyopita alichezea kichapo huko maeneo ya town ambako kitimoto kinauzwa. kijana huyo ambae alikua amelewa chakali alionekana akiwatukana baadhi ya wateja walikua wamekaa wakieendelea na sterehe zao.lakini alionekana kuwakera zaidi pale alipooneka akiwatukana matusi ya nguoni na hapo ndipo walipoamua kumtorea uvivu na kumshushia kichapo.

No comments:

Post a Comment