Friday, October 22, 2010
chini ya kapet
habari zisizo lasimi tulizo zipata zinaeleza walichukua form za kugombea kwa ngazi ya urais ni wafuatao
1;dennis bishaka alikua waziri mkuu
2;mtaki alikua kocha wa kikosi cha dli mwaka jana
3;elias mkumbo alishawahi kuomba ngazi hiyo mwaka jana
4;mpamju huyo pia aligombea mwakajana lakini kura hazikutosha
kwa upande wa makamu wa rais waosemekana pia kuchukua ni wafuatao
1;mery munna
2;majariwa
3;mboni
4;dl1 mmoja pia ambae jina lake bado hatujaripata
habari hizi ni tetesi tunasubiri tume itakapo tangaza rasmi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment