wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, December 15, 2009

WELCOME 1st YEAR NA UZINDUZI WA MASHINDANO YA MADARASA 2009/10

TAARIFA YA WAZIRI WA MICHEZO
Waziri wa michezo mheshimiwa YAHAYA KARIM ametoa taarifa ya
siku ambayo wana ijaso hawatakiwi kusahau, ni siku ya tamasha la kuwa karibisha wanachuo wapya (dl1 na cl) ikienda sambamba na ufunguzi wa michezo ya madarasa.
Pia kutakua na uzinduzi wa Blog ya ijasosana,
Burudani zatakazo kuwepo
1. MASHINDANO YA KULA
2.FASION SHOW\
3.WASANII KUTOKA FAMILIA YA IJASO
4.DISCO LA NGUVU KUTOKA KWA MA Dj WA KALI
5.MECHI YA MPIRA WA KIKAPU ( DL1 Vs DL2)
6.SHINDANO LA SEXIESTY GAL
Mgeni rasmi katika shughuli hii atakua Mhe, JAJI E.MUSHI
KWA MWANA IJASO HUTAKIWI KUKOSA BURUDANI HII

No comments:

Post a Comment