wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Thursday, December 17, 2009

LiGI yetu ijaso

mashindano ya madarasa ndo kwanza yanaaza na yatafuguliwa ijumaa na kwa taarifa ya haraka haraka ni kwamba tayari timu ya mpira wa miguu ya dl1 imejipanga vizuri na imempata kocha mzuri ambae amewahi kucheza ligi kuu ya tanzania, kocha huyo nimedokezwa kua alikua mchezaji hatari wa timu ya LIPULI YA IRINGA,]
pamoja na hayo ratiba inaonyesha kua mechi zote za mpira wa miguu zitafanyika kwenye uwanja wa harimashauli ambao uko mjini lushoto,hii inatokana na kwambwa kiwanja kilichokua kinatumika hapo kabla hakina kiwango kinachotakiwa,zaidi mpaka jana timu mbalimbali zimeonekana viwanjani zikifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa.taarifa zaidi endelea kuwa pamoja na sisi

1 comment:

  1. Michezo yote lazima Dl1 tuchukue coz tupo fit ile mbaya kila idara.

    ReplyDelete