wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, December 15, 2009


tunaraji kufanya ufunguzi rasimi wa blog hii siku ya welcom first year ambayo itakua ni next weekend hapa ija,mambo mengi tutafanya ikiwa ni pamoja na kuitambulisha cabineti nzima ya ijasosana,pia kama mambo hayataenda vibaya we are planning to make competion ya kutafuta who iz the sexiest gal ambayo wewe ndugu mfatiliaji ndio utakua jaji wa kuamua kwa kumpigia kura moja kwa moja au online wenyewe wanasema unaeona anafaa kua.so keeeeeep in touch saa yoyote muchuano unaweza kuanza na matokeo ni siku ya ufunguzi rasimi

No comments:

Post a Comment