wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Friday, December 18, 2009

BAJETI YA SERIKARI YA WANAFUNZI YAKAMUA ZAIDI YA M 13

Jana mchana kikao cha bunge la serikali ya wanafunzi kimeendelea katika ukumbi wa juu cert ambapo wizara mbalimbali ziliwa kilisha bajeti zao na jumla bajeti yote ilichukua kama million 13 huku ikiwa na mvutano mkubwa

MH JUSTIN MWALIKWA AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU

wabunge kutoka katika majimbo mbalimbali wakiwa wanafatilia bajeti mbalimbali
Waheshimiwa wakiwakatika picha ya pamoja wakati wa mapumziki mafupi kabla ya kuingia tena kuendelea na kikao cha bunge

Mh mbunge wa dLI AKIWA MAKINI KUFUATILIA BAJETI


WAZIRI MKUU,NAIBU SPIKA,SPIKA PAMOJA NA KATIBU OFISI YA RAIS WAKIWA BUNGENI JANA





<

No comments:

Post a Comment