wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, December 22, 2009

WELCOM 1st YEAR NA UZINDUZI WA IJASO SANA ULIKUWA HIVI


Mgeni Rasmi katika hafra hii alikua makamu mkuu msaidizi wa IJA Mh NTEMI KILEKAMAJENGA Kama anavyoonekana akifatilia kwa karibu matukio mbalimbali yaliokua yanaendelea
Meza kuu ilikua hivi, hapa ni mgeni Rasmi pamoja na Rais wa ijaso,dean of student,milindo, na Makamu wa Rais wa Ijaso.
Kabineti ya Ijaso Sana pamoja na Waziri wa Habari Mh. Baraka, akifuatiwa na Mhariri wa Ijaso sana Nd. Joel, Mpiga Picha Emmanuel Mwita, Mkurugenzi Mtendaji Mh. Rubben Maduhu, pamoja na Ijaso Sana Technician Humphrey, Wakitambulisha Rasmi blog ya Ijaso Sana.
Mgeni Rasmi pamoja na wageni waalikwa baada ya uzinduzi wa blog ya Ijaso Sana wakifatilia kwa karibu blog hiyo jinsi inavyoonekana katika Projector iliyofungwa siku hiyo maalum kwa Uzinduzi.
Moja kati ya matukio yaliyokuwa ni hili la mashindano ya kula kama inavyooneka katika picha.

No comments:

Post a Comment