wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Sunday, January 2, 2011

breakin newz.........

waziri wa ELIMU  wa serikali ya wanafunzi (ijaso) ndg EDSON  amejiuzulu.
habari za chini ya carpet tulizozipata ni kwamba kiongoz huyo ambaye amekua uongozin tangu serikali ya Rais Nuhu. amechukua uamuzi huu baada ya kuona kua elimu haipewi kipaumbele katika serikali hii ambacho ndicho kitu kikubwa ambacho kimewafanya pia kua hapa, Aitha habari ambazo hazijazipitishwa zinasema kua sekta hiyo muhim imekua haipewi kipaumbele kiasi kwamba mpaka vikao inavyokaa haipewi posho hata maji ya kunywa wajumbe hawapati.
mpaka sasa ijasosana haijapata taarifa rasimi kama mh Rais ameipokea na kuilizi barua ya kujiuzuli kwa waziri EDSON kwa habari zaidi tutakupasha stay tuned

No comments:

Post a Comment