wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Tuesday, January 11, 2011

matukio ya mechi kati ya cl vs dli[1-1] na dlii vs staff [3-1]

 ilianza mechi kati ya cl na dli ambao mpaka mwisho ilikua ni sare 1-1
 hapa mechi inaendelea japo iliathiliwa na mvua iliyonyesha mapema mchana
 niwakati wa mapumziko wachezaji wa cl wakipeana mawaiza baada ya kenda kuanza kipindi cha pili
 pamoja najua kua kali bado washabiki wa mpila walikuwepo uwanjan kufuatilia mchezo hapa ni victor,waziri mkuu mwenye miwani, waziri wa katiba na sheria mh miriam na wengine
 hawapia walikuwepo kuhakikisha kinaeleweka uwanjani hapo
 timu ya dli wakiwa kati picha ya pamoja
 dada mboni ambae pia aliwahi kua mgombea wa kiti cha makamu wa rais alikuwepo uwanjani
 hawa pia walikuwepo na kibend chao cha ushangiliaji full buruda
 mashabiki wa dli wakiendelea na mishe mishe uwanjani
 hawa ni mashabiki wa cl wakifuatilia mechi kwa karibu
 wachezi wa cl baada ya mechi kuisha
 hawa ni wakufunzi wa timu ya dlii mtaki,mzee rubugopamoja na mpanju baada ya timu na kuileta uwanjani
 wachezaji wa timu ya stafu wakiwa tayari kabisa kukabili kikosi cha dlii
 hapa niwachezaji wa dlii wakiwa pia tayari kwa kumenyana na timu ya staff
 timu zote mbili zikikaguliwa kabla ya mechi kuanza
 huyu ni lazak
 dlii kati poz la pamoja
 lamek pamoja na saba wakiwa pamoja walicheza pia na hapo ndipo lamek alipoweka record ya kucheza bila kuchafuka mpaka
KOMBAKONO, huyu ndio alikua kocha wa timu ya staff akito maelekezo kwa timu yake wakati mechi inaendelea hata hivyo baada ya kuona timu inaelemewa aliamua kuingia uwanjani mwenyewe
 mashabiki wa dlii wakishangilia ushindi
 hapo magoli yalipozidi  hwakusita kushangilia mpaka uwanjani
 kijani pamoja na vuvuzela yake alikua msatari wa mbele kushangilia
 nikama bendi hivi mi napiga gitaa mshikaji anapuliza alafu mosses anaimba hahaahaah
 tuko tu katika poz ya uwanjani pamoja na anna tegemea
 mashabiki wa dlii wakieendelea kushangweka

1 comment:

  1. vijana naona kipindi kizuli kimefika hapo chuoni napamisi sana.kaka najisikia kama bado niko huko endele kutuhabarisha

    ReplyDelete