wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Wednesday, October 28, 2009

uchaguzi tayari umefanyika na NUHU SULEIMANI KAIBUKA KIDEDEA
Mawazili pia amechagua na ameshawaapisha jana jioni.lakini na shangaa that was a very serious occation lakin unajua nini? WALIHUZURIA WATU WACHACHE SANA.Unazani kwa nini??????
NIPE MAONI YAKO,......

1 comment:

  1. da mwana nimekukubali hii imekaa vizuri tutakua pamoja sana

    ReplyDelete