wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Wednesday, October 28, 2009

helo helo helo there again welcome ijasosana


hello funs of ijaso TUNAANZISHA HII ILI KUFAHAMISHANA TU VITU VYA HAPA NA PALE vinavyo tuhusu visivyo vtuhusu lakin tunatamani kuvifahamu, tunavyovipenda pia na hata kudisi vibaya na kusifia vizuri.Kama unakitu unapenda tukiweke hapa hapa unaweza pia kukileta kwa anwani hii bennyruben@ymail.com au weka kama comment.INAWEZA KUA KUBOLESHA au vingine .



so zaidi KISIASA, BURUDANI,KIELIMU,MAPENZI.nk

4 comments:

  1. I WILL STAY WITH YOU NOW From: This sender is DomainKeys verified"new_fun_and_fun_only Moderator" Add sender to ContactsTo: noelmpagike@yahoo.comMessage contains attachments1 File (59KB)welcome22.JPG

    ReplyDelete
  2. Kusema ukweli IJA inawapika watu watakaokuja pingana na hukumu zinazotolewa na majaji wa sasa kwani hawana nguvu ya kuitetea ibara ya 107 ya katiba yetu"UHURU WA MAHAKAMA" Hali inyowapelekea wengi kutiliya mashaka ELIMU zao

    ReplyDelete
  3. KUNA USEMI KWAMBA "ELIMU BORA HUMFANYA MTU KUWA MSTAARABU NA MFANO WA KUIGWA KTK JAMII ANAMOISHI"IKIWA NI HIVYO, LIPI TUNALOWEZA KUIGA KWA WASOMI WA SASA? BY DUNIA OBEID NTABI.

    ReplyDelete