wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Thursday, October 29, 2009

MAISHA CHUO WAYAONAJE??????


,


'maisha ya mtaani yanachosha sana lakini bola niko shule sina


mishemishe nyingi kama za mtaani', .maisha ya chuo mara nyingi kwa siku kuna mishemishe ambazo hazikwepeki kama KWENDA LECTURE ROOM, KWENDA HOSTERI, NA KWENDA KANTINI au KWANDUNGULU,najua ni mhimu ufike sehemu hizo na pia lazima ubebe madafutari kama dada angu hapo juu.


WEWE UNADHANI HASA MAISHA YA CHUO NA YA MTAANI YANATOFAUTIANA HASA KWAKIPI NIPE MAONI..................................

4 comments:

  1. maisha ya chuo wandugu magumu sana.since i was here maisha yamechange.Kwanza hali ya hewa c nzuri kwangu,madem wenyewe ukimtokea atataka umhudumie.Pesa inatumika sn hasa wa private stdnt.Ila mzuka tufanye lililo2leta.Mzuuuuuuuuuuuuuuuuuka wadau wenzangu msopenda kuchangia

    ReplyDelete
  2. wadau ki2 kingine masomo magum sana,kama ulizoea nyambar na kadege tubadilike fasta.napenda km tulivyoanz cku ya mwisho 2vae majoho wote.MZUKA WANA DL1 WENZANGU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. kaka wanasema kwamba haliya hewa ya baridi ni nzuri kwa kusoma inakuaje unaidisi au sijakusoma. niambie vizuri labda

    ReplyDelete
  4. ndo maana nikasema kwa upande wangu sio nzuri,kusoma sawa mzuka lakin mi napata tabu sana.cz nna matatizo ya kifua that y

    ReplyDelete