Friday, August 20, 2010
JUDGE MUSHI KAAGWA
kwa habari tulizo zipata hapo tarehe 8agost 2010 kulikua na sherehe ya managenent ya uongoz wa chuo ya kumuaga rasimi judge MUSHI ambae anaondoka. na kiongozi mpya wa chuo anaekuja ni judge wa tabora ambae jina lake hatujaripata bado,habari zakuaminika zinasema kwamba katiKA sherehe hiyo uongozi wawanafunzi uliwakilishwa na Rais ndug NUHU SULEIMAN na WAZIRI MKUU DENNIS BAISHAKA
MPAKA SASA MENEGIMENT IMEVUNJWA NA INATEGEMEA KUTENGENEZWA NYINGINE WAKATI WOWOTE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kweli chuocha kushangaza!!!!.mpaka sasa matokeo bado hayajawekwa na huyo mtu wa IT mzembe sana anakula mshahara wa bure.lait ningekuwa mm mkuu wa chuo angekuwa fired
ReplyDelete