wadau wakuu katika pozi

wadau wakuu katika pozi

Monday, April 12, 2010

miss ija yaahilishwa


wakati tamasha la michezo likitarajiwa kufanyika jumamos ijayo lililokua likiandamana na miss ija,shindano la miss ija limeahilishwa kutokana na responce ndogo ya wadhamin,.hayo yamesemwa na waziri wamichezo alipokua anatangaza kufanyika kwa tamasha la michezo sambamba na hilo mchezo wa mpira wa miguu pia hautahusika katika tamasha hilo.
wakati huo huo tayari timu ya chuo ya mpira wa miguu imesha teuliwa na majina yatatangazwa hapo baadae, hilo limefanyika wakati huu ilikujiaanda tayari kwa mechi ya kirafiki na timu ya chuo cha ualimu Eckenford baada tu ya likizo ya mid semister.Mechi hiyo inatarajiwa kufanyika mjini Tanga

No comments:

Post a Comment